Mtunzi: Rogers Justinian Kalumna
> Tazama Nyimbo nyingine za Rogers Justinian Kalumna
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 2,445 | Umetazamwa mara 7,165
Download Nota Download MidiAulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele x 2
Nami nitamfufua siku ya mwisho x 2
1. Bwana asema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami ndani yake
2. Bwana asema mimi ni mzabibu wa kweli nanyi ni matawi yangu akaaye ndani yangu huyo huzaa sana
3. Bwana asema mimi ni mkate wa uzima ulioshuka kutoka mbinguni anilaye atakuwa na uzima wa milele