Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Prosper Msaki
Umepakuliwa mara 2,685 | Umetazamwa mara 7,287
Download Nota Download MidiManneno Yn, 6:51
Bwana amesema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami ndani yake aleluya aleluya aleluya
1. Yesu akajibu akawaambia Wayahudi mimi ndimi chakula cha uzima
2. Hiki ni chakula kishukacho kutoka mbinguni kwamba mtu akila aishi milele
3. Mimi ndimi chakula cha uzima kutoka mbinguni mtu akila ataishi milele
4. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu kwa ajili ya uzima wa ulimwengu
5. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele
6. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu huka' ndani yangu nami ndani yake