Ingia / Jisajili

Misa Ya Mtakatifu Yakobo

Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 8,572 | Umetazamwa mara 15,879

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Lawrence Nyansago Jul 15, 2016
Ukurasa wa 4 Baada ya maneno "Ee Bwana Yesu Kristo" yanayombwa na sauti ya nne kuna bar nzima yenye maneno "... mwana wa pekee...." haipo kabisa

May 08, 2016
Tunawashukuru sana kwa waanzilishi wa website hii mungu awabariki sana. Nilipenda kuoa ushauri kidogo kutokana na mpangilio mpya huu tunapotembelea website yetu hii naona ule wa mwanzo ulikua mzuri na rahisi sana kwani kila aina ya nyimbo zilikua sehem yake yani misa, zaburi, sadaka, n.k tofauti na sasa mpka uaindike jina LA mtunzi na wakati mwingine haileti. Sijui wahusika mmelionaje hilo

Toa Maoni yako hapa