Ingia / Jisajili

Baba Yetu Venance Lyapembile

Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 479 | Umetazamwa mara 1,611

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba yetu Venance Lyapembile nenda Baba ukapumzike x 2. Umetuacha wakiwa wanao, Machozi yanatutoka twende wapi? Furaha imepotea twende wapi, Uchungu umetusonga pande zote Ulimwengu huu ni mateso. Mashairi: 1 (a) Nalia mimi, nahangaika, kwa nini mimi, kwa nini hivi 1(b) Namtazama, amenyamaza sauti yake haipo tena 2 (a) Tazama anga, limetulia ukiwa mtupu umetawala 2 (b) Dunia nayo, imetulia nyimbo za ndege zimetawala. 3 (a) Nani kaenda, nani karudi, siri ya Mungu imetawala 3 (b) Uchungu huu, haupimiki, machozi yangu afute nani?

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa