Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 4,718 | Umetazamwa mara 8,651
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bali mimi, nikutazame uso wako, katika haki, (Niamkapo nishibishwe kwa sura yako, niamkapo nishibishwe kwa sura yako).x2
Viimbilizi:
1.Ee Bwana usikie haki, ukisikilize kilio changu, utege sikio lako kwa maombi yangu, yasiyotoka katika midomo ya hila.
2.Hukumu yangu naitoke kwako, macho yako na yatazame, mambo ya adili.