Mtunzi: Aloyce M.okwako
> Mfahamu Zaidi Aloyce M.okwako
> Tazama Nyimbo nyingine za Aloyce M.okwako
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: SYLVESTER CHIKOTI
Umepakuliwa mara 993 | Umetazamwa mara 2,433
Download NotaBasi wanangu, nisilizeni sasa maana heri yao (heri yao) maana heri yao wazishikao amri zangu x2
sikieni mafundisho mpate hekima (tena) mpate hekima wala msiikatae x2
1. Ana heri mtu yule anisikilizaye, akisubiri penye vizingiti vya malango yangu
2. Maana yeye anionaye mimi aona uzima, naye atapatakibali toka kwa bwana
3. Bali anikosaye hujidhuru nafsi yake mwenyewe, nao wanichukiao upenda mauti