Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 5,802 | Umetazamwa mara 11,992
Download Nota Download Midi1. Binadamu inama kichwa umwabudie Mungu mtu, hapa yupo ajapofichwa ameshuka chini kwetu, hapa yupo ajapofichwa ameshuka chini kwetu
2. Kwa macho yetu hatuoni,ila maumbo ya mkate, hatuna'ta mkate lakini, mwiliwe twakiri sote
3. Kukaa nasi umetaka Rabbi mwema mpenda watu, kwa tamaa nyoyo zawaka njoo basi ndani mwetu