Ingia / Jisajili

Bwana Aliniambia

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 855

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: BWANA aliniambia ndiwe mwanangu Mimi Leo nimekuzaa (Mimi) nimekuzaa leox2. Shairi: (1)nitaihubiri amri ya Bwana kwa maana. (2) Uniombe nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako Na miisho yote ya dunia kuwa milki yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa