Ingia / Jisajili

Bwana Kama wewe

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 613 | Umetazamwa mara 1,400

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Kama wewe ungehesabu maovu yetu ni Nani angesimama mbele yako angesimama mbele yakox2. SHAIRI; (1) lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe nimemngoja bwana roho yangu na neno lake nimelitumaini. (2) nafsi yangu yamngoja bwana, yamngoja bwana bwana mungu wangu kuliko walinzi wangojavyo walinzi wangojavyo asubuhi. (3) Ee bwana toka vilindini nimekulilia bwana wangu sauti yangu usikie masikio yangu yasikie dua zangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa