Ingia / Jisajili

Bwana Aliniambia

Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Noeli

Umepakiwa na: Joseph Mgallah

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 55

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana aliniambia ndiwe mwanangu x2. Mimi leo nimekuzaa leo mimi leo nimekuzaa leo mimi leo nimekuzaa leo nimekuzaa x2 1.Tufurahi sote katika Bwana kwasababu leo mwokozi wetu amezaliwa duniani. 2.Leo amani ya kweli imetushukia amani ya kweli imetushukia kutoka mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa