Ingia / Jisajili

Bwana aliniambia ndiwe mwanangu

Mtunzi: I.j.simfukwe
> Mfahamu Zaidi I.j.simfukwe
> Tazama Nyimbo nyingine za I.j.simfukwe

Makundi Nyimbo: Noeli | Zaburi

Umepakiwa na: Isaya Simfukwee

Umepakuliwa mara 262 | Umetazamwa mara 782

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitiko; (Bwana aliniambia ndiwe mwanangu, Mimi Leo nimekuzaa Mimi nimekuzaa Leo nimekuzaa Leo( Mimi nime kuzaa Leo))x2

1.Wafalme wa dunia wanajipanga nawakuu, (wanafanya shauri pamoja juu ya Masiha wao)x2

2.Yeye anayeketi huko mbinguni anacheka, (naye Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme)x2

3.Atukuzwe Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu,(kama mwanzo sasa na siku zote namilele Amina)x2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa