Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 1,283 | Umetazamwa mara 3,534
Download NotaBwana aliniambia, ndiwe Mwanangu; mimi leo nimekuzaa aleluya x2
1. Nimekuteuwa wewe, na kukuweka mfalme juu ya Sayuni mlima wangu mtakatifu.
2. Miisho yote ya Dunia, imeuona wokovu, imeuona wokovu wa dunia.
3. Mtumikieni Bwana, mtumikieni kwa kicho; shangilieni leo kazaliwa Mwanangu.
4. Atukuzwe Baba, atukuzwe na Mwana, naye Roho Mtakatifu amina.