Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 453 | Umetazamwa mara 1,711
Download NotaNjoni Wanangu njoni kwangu tusemezane (njoni); Nami nitasikiliza makosa yenu x2
1. Japokuwa dhambi, dhambi zenu nyekundu sana; nyekundu kama bendera; tangu sasa zitakuwa nyeupe kama sufu na theluji.
2. Ninyi ni wanangu, kama mkikubali kutii; kutii amri zangu; mtakula mema ya nchi ile niliyowaandalia.
3. Na mkitubu dhambi, na kuosha mioyo yenu; iliyojaa damu; na harufu mbaya ya uozo, uozo wa dhambi.
4. Maneno yangu wala si maneno ya hila; si maneno ya chuki; bali maneno ya'amani na upendo asema Bwana.