Ingia / Jisajili

Bwana Alipokwisha Kubatizwa

Mtunzi: Alfred L. Mchele
> Mfahamu Zaidi Alfred L. Mchele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred L. Mchele

Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo

Umepakiwa na: Alfred L. Mchele

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikafunguka zikafunguka×2.

Roho akashuka kama hua, na kukaa juu begani mwake×2.

Beti

1. Na sauti ya baba ikasikika, ikasikika KUTOKA mbinguni ukisema huyu ni mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa