Mtunzi: Kelvin Pascal Chambulila
> Mfahamu Zaidi Kelvin Pascal Chambulila
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Pascal Chambulila
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: KELVIN CHAMBULILA
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Ubatizo wa Bwana
Bwana alipokwisha kubatizwa mbingu zikamfunukia, roho akashuka kama hua na kukaa juu yake na tazama; sauti ya baba ikasema "Huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye"
Shairi:
Mpeni bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni kwa uzuri wa utakatifu