Mtunzi: C. Mzena
> Tazama Nyimbo nyingine za C. Mzena
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,425 | Umetazamwa mara 4,963
Download Nota Download MidiBwana alitutendea mambo makuu, Bwana alitutendea mambo makuu, tulikuwa tukifurahi x 2.
Mashairi:
1. Bwana alivyowarejeza mateka wa sayuni, tulikuwa kama vile waotao ndoto, ( Ndipo hapo hakika ikawa furaha ) x 2.
2. Ndipo waliposema kuwa katika mataifa, Bwana amewatendea mambo ya ajabu, ( Sote tulifurahi tukichekelea ) x 2.
3. Bwana uwarejeze watu wetu waliofungwa, wapandao kwa machozi watavuna kwa furaha, ( watabeba mavuno wakishangilia ) x.