Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 13,149 | Umetazamwa mara 22,811
Download Nota Download Midi(Bwana alivyo mkarimu , bwana alivyo na upendo tazama ametuandalia chakula cha uzima) x 2
Wale wapenzi wa Bwana jongeeni kwake, Bwana anawaalika jongeeni kwake, Wenye usafi wa moyo jongeeni kwake, Bwana anawaalika, jongeeni kwake