Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 14,542 | Umetazamwa mara 23,486
Download Nota Download MidiNi nani hawa watembeao kwa furaha (wote pamka) wakijongea Altare yake Mungu ni wateule wake Bwana walioalikwa kwa karamu x2
1. Yakupasa ujiulize ndugu unakikwazo gani kinachokufanya uiogope meza ya Bwana
2. Hebu watazame wenzako wanavyokwenda kwa furaha wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu
3. Bwana Yesu ameutwaa mwili wake kama chakula na damu yake kuitoa kwetu kama kinywaji