Ingia / Jisajili

Bwana Amejaa Huruma

Mtunzi: Thomas Kumoso
> Mfahamu Zaidi Thomas Kumoso
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Kumoso

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomas Yotham

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana amejaa huruma na neema, si mwepesi wa fadhili ni mwingi wa fadhili x2

1. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana; Naam, vyote vilivyo ndani yangu, vilihimidi jana lake taka-tifu.

2. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana; Naam, wala usizisahau, usizisahau fadhili zake zote.

3. Ndiye asameehaye maovu yote; akuponya na magonjwa yote, anayekuponya magonjwa yako yote.

4. Bwana hahesabu hatia zetu; wala halipishi dhambi zetu, si mwepesi wa hasira, mwingi wa fadhili.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa