Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,177 | Umetazamwa mara 3,981
Download Nota Download MidiAUGUSTINE RUTTA
ARUSHA 2004
Nitafurahi kwa maana Bwana amenipamba nitafurahi sana katika Bwana wangu amenipamba kama bibi harusi ajipambavyo amenivika haya mavazi mazuri ya wokovu tushangilie wote Bwana amenivika mavazi ya wokovu x 2
1. Nitafurahi sana katika Bwana wangu na roho yangu leo itamshangilia
2. Binti sayuni furahi furahi sana wewe mshangilie leo huyo Muumba wako
3. Nitamwadihimisha Bwana katika roho yangu na nafsi yangu itamfurahia Mwokozi