Ingia / Jisajili

Bwana Ametamalaki

Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Kupaa kwa Bwana | Matawi | Misa | Mwaka Mpya | Zaburi

Umepakiwa na: KULWA GEORGE

Umepakuliwa mara 602 | Umetazamwa mara 1,699

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ametamalaki x2 Na nchi na ishangilie na visiwa vingi na vifurahi; kwani ndiwe uliye juu kuliko nchi yote x2 1. Haki na hukumu yake, ni msingi wa kiti chake; Bwana ametamalaki, sote twimbe aleluya. 2. Mbingu nazo zatangaza, zatangaza haki yake; nasi tumeuona, u'tukufu wa Mungu wetu. 3. Enyi miungu yote, na msujuduni Yeye; kwa maana Mungu wetu, umetukuka sana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa