Ingia / Jisajili

Bwana Atawabariki Watu Wake - II

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 256 | Umetazamwa mara 760

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO. Bwana atawabariki atawabariki, watu wake watu wake kwa amani x2 (Bwana) atawabariki (Bwana) atawabariki (Bwana) atawabariki watu wake kwa amani x2 1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu, mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwana, kwa uzuri wa utakatifu. 2. Sauti ya Bwana I juu ya maji, Bwana yu juu ya maji maji mengi, sauti ya Bwana sauti ina nguvu, sauti ya Bwana sauti ya Bwana ina adhama. 3. Sauti ya Bwana yawazalisha Ayala, na ndani ya hekalu wanasema utukufu, Bwana aliketi juu ya gharika, naam Bwana ameketi hali ya ufalme milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa