Mtunzi: S. B. Mutta
> Tazama Nyimbo nyingine za S. B. Mutta
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 5,448 | Umetazamwa mara 11,747
Download Nota Download Midi28.07.1993 - DSM
BY: S.B. MUTTA
Bwana ametamalaki nao mataifa watetemeka naye ameketi juu ya makerubi nayo nchi inatikisika X 2
Bwana katika sayuni ni mkuu, naye ametukuka juu ya mataifa yote
Wote walishukuru jina lake kuu kwa maana jina lake Bwana ni lakuogopwa
Moto watangulia mbele zake nakuwateketeza adui zake pande zote