Mtunzi: S. B. Mutta
> Tazama Nyimbo nyingine za S. B. Mutta
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 14,713 | Umetazamwa mara 25,031
Download Nota Download MidiUnihurumie mimi Bwana, nimetenda dhambi mimi Bwana, ninakusihi, ee Mungu wangu, unisamehe, makosa yangu, ( niliyokutendea wewe Mungu wangu na jirani zangu ) x 2
1. Dhambi zimenitenga nawe, Bwana unihurumie, mimi ni mkosefu.
2. Nauogopa uso wako, kwani nimekosa Baba, unihurumie.
3. Ewe Baba mwenye huruma, unihurumie mimi, nimetenda dhambi.
4. Uisafishe roho yangu, uniimarishe Bwana, nisitende dhambi.