Ingia / Jisajili

Bwana amezaliwa ni Furaha Duniani

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 282 | Umetazamwa mara 666

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana amezaliwa ni Furaha duniani yeye ni Mwokozi wetu, kaja kwetu ili tupate kuokoka x2. {(Yeye) ni Mungu pamoja nasi tumshangilie (Mshangilie) Mkombozi wetu (na tuimbe na kucheza kwa shangwe, na tupige makofi pia vigelegele, huyu ni Mungu) ameshuka kwetu x2} utukufu juu mbinguni pia na amani iwe Duniani kwa watu wote wote wale wenye mapenzi mema na tuimbe pamoja aleluya na tuimbe pamoja na Malaika.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa