Mtunzi: Rev. Fr. D. Ntapambata
> Tazama Nyimbo nyingine za Rev. Fr. D. Ntapambata
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,876 | Umetazamwa mara 7,429
Download Nota Download MidiBwana anakuita Bwana anakuita Bwana anakuita milele x2
1. Atakulisha Bwana anakuita
Atakunywesha Bwana...
Sogea kwake Bwana…
Akupe neema Bwana…
2. Kwenye karamu Bwana anakuita
Kwa meza yake Bwana…
Kula mwiliwe Bwana…
Kunywa damuye Bwana…
3. Uone mwanga Bwana anakuita
Upate njia Bwana…
Kwenye uzima Bwana…
Kwenye furaha Bwana…
4. Ukae naye Bwana anakuita
Ushinde naye Bwana…
Uishi naye Bwana…
Milele yote Bwana…