Ingia / Jisajili

Uwinguni Ulipo Mama

Mtunzi: Rev. Fr. D. Ntapambata
> Tazama Nyimbo nyingine za Rev. Fr. D. Ntapambata

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 5,381 | Umetazamwa mara 10,516

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Uwinguni, ulipo Mama, utufikishe na sisi x 2.

  1. Sisi wana wako twakulilia, tusikilize utuopoe.
  2. Tunaposhindana na Ibilisi, utupe neema ya kufaulu.
  3. Mama wa Muumba tusimamie, utukingie maovu yote.
  4. Nguvu za shetani zatuzunguka, Mama mwema we tusaidie.

Maoni - Toa Maoni

Leopord Bosco Sep 08, 2019
Tunawashukuru kwa zawadi ya huduma ya nyimbo hasa za kila jumapili ila inatokea baadhi ya siku tunaingia na kukutana na 500

Kayombo Andrea Aug 08, 2018
Wimbo huu naukubali sana fr Ntapambata alikaa na kufikilia vyema.

Toa Maoni yako hapa