Ingia / Jisajili

Bwana anakuja

Mtunzi: Emmanuel Juche
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Juche
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Juche

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 476 | Umetazamwa mara 1,423

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:     Bwana anakuja Bwana anakuja kuwahukumu mataifa, mataifa kwa haki x2.

Mashairi:

1.Mwimbieni Bwana, zaburi kwa kinubi (Kwa kinubi na sauti ya zaburi x2)

2.Bahari na ivume, na vyote viijazavyo (Ulimwengu nao wakaao ndani yake x2)

3.Atauhukumu, ulimwengu kwa haki (na mataifa mataifa kwa haki x2)


Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa