Ingia / Jisajili

Nafsi itashangilia

Mtunzi: Emmanuel Juche
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Juche
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Juche

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 539 | Umetazamwa mara 1,456

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nafsi yangu itashangilia, nafsi yangu itashangilia itashangilia katika Mungu wangu x2

    • 1.Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, na  Roho yangu imemfurahia Mungu mwokozi wangu
      • 2.Kwa maana tazama tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa.
        3.Mwenye njaa amewashibisha mema, na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa