Ingia / Jisajili

Bwana Anakuja Duniani

Mtunzi: Japhet Mmbaga
> Mfahamu Zaidi Japhet Mmbaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Japhet Mmbaga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio

Umepakiwa na: JAPHET MMBAGA

Umepakuliwa mara 85 | Umetazamwa mara 117

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Anakuja Anakuja Duniani, Anakuja Kutuokoa Wanadamu×2 Haya Enyi Ndugu zangu Tuyatubu Makosa Yetu, Tujiweke Tayari Kumpokea Mwokozi.×2 1. Anakuja Kwetu Bwana Mfalme Mwenye Enzi Milele hata Milele. 2. Njoo Masiha kutuokoa Tunakungoja Ee Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa