Mtunzi: Rev. Fr. D. Ntapambata
> Tazama Nyimbo nyingine za Rev. Fr. D. Ntapambata
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 5,294 | Umetazamwa mara 9,956
Download Nota Download MidiBwana apiga hodi kwako
Bwana apiga hodi umpokee
Ule mwili wake, unywe damu yake
Bwana apiga hodi umpokee
1. Chakula cha mbingu kinywaji cha mbingu Bwana apiga hodi umpokee
2. Sogea ukale jongea ukanywe Bwana apiga hodi umpokee
3. Ni mgeni hakika kutoka mbinguni Bwana apiga hodi umpokee
4. Anakuja kwako aleta uzima Bwana apiga hodi umpokee
5. Atakushibisha utaburudika Bwana apiga hodi umpokee
6. Ataishi nawe kwa milele yote Bwana apiga hodi umpokee