Ingia / Jisajili

Nimemkuta Daudi

Mtunzi: Rev. Fr. D. Ntapambata
> Tazama Nyimbo nyingine za Rev. Fr. D. Ntapambata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Ubatizo

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 9,406 | Umetazamwa mara 12,615

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nimemkuta Daudi Mtumishi wangu mwema nikampaka mafuta ili mkono wangu uwe naye daima x 2: 1. Mkono wangu uliomtia mafuta/Ndio utakao mtia nguvu. 2. Kwa mkono wangu hodari/Pembe yake itatukuka sana. 3. Daima ataniita Mungu wangu/ Nami nitamwita mwanangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa