Mtunzi: Innocent J. M
> Tazama Nyimbo nyingine za Innocent J. M
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,554 | Umetazamwa mara 4,492
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
Bwana aasema mimi ni nuru ya ulimwengu (Bwana asema) mimi ndimi nuru ya ulimwengu x2
1. Yeye anifuataye mimi hata kwenda gizani kamwe, hata kwenda gizani kamwe
2. Yeye anifuataye mimi atapata nuu ya uzima, ‘tapata nuru ya uzima
3. Anayekula chakula change wokovu utakuwa kwake, wokovu utakua kwake