Mtunzi: Innocent J. M
> Tazama Nyimbo nyingine za Innocent J. M
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 828 | Umetazamwa mara 2,690
Download Nota Download MidiWEWE BWANA USINIACHE - INNOCENT MKUYULI.
1. Wewe Bwana wewe Bwana usinia-che Mu-ngu wangu// Ee Mungu usijitenge nami (Bwana ) x2
2. Nafsi yangu yafifia kwa kutama-ni wokovu wako// nisemeje utanifariji (Bwana) x2
3. Macho yangu yafifia natazami-a ahadi yako // nisemeje utanifariji? (Bwana) x 2
4. Walojawa na kiburi wamenichi-mbia- mashimo;// hawafuati sheria yako (Bwana) x2
5. Maagizo yako yote nayaami - ni Bwa-na wangu// nafuatwa bure nisaidie (Bwana) x2.
Copied by lucasmlingi@yahoo.com +255 754 974 978