Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 1,800 | Umetazamwa mara 6,019
Download NotaBwana Yesu asema mimi ndimi mchungaji mwema x2
Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya uhai wako ndoo wangu x2
1. Bwana asema mimi ni mlango anayeingia kupitia kwangu ataokolewa ataingia na kutoka na kupata malisho
2. Bwana asema mimi ni mchungaji mwema na mimi nawajua walio wangu nao wanijua mimi kama vile Baba anijuavyo nami nimjuavyo Baba
3. Baba ananipenda kwani natoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena hakuna wa kunyang’aya uhai wangu nautoa mwenyewe kwa hiari yangu