Ingia / Jisajili

TU WATU WAKE

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 371 | Umetazamwa mara 1,157

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tu watu wake tu watu wake na kondoo wa malisho wa malisho yake x2 Mashairi 1.(a & b)Mwimbieni Bwana kwa furaha, njoni mbele zake kwa kuimba. 2.(a) Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu, (b)ndiye aliyetuumba, na sisi tu watu wake, tu watu wake na kondoo wa malisho yake. 3.(a) Kwa kuwa Bwana ndiye mwema (b) Rehema zake ni za milele na uaminifu wake vizazi na vizazi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa