Ingia / Jisajili

Bwana Atawabariki Watu Wake

Mtunzi: Simon H. Mapua
> Mfahamu Zaidi Simon H. Mapua
> Tazama Nyimbo nyingine za Simon H. Mapua

Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,238 | Umetazamwa mara 8,963

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bwana atawabariki watu wake kwa amani, atawabariki watu wake kwa amani x 2

Mashairi:

  1. Mpeni Bwana enyi wana wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu.
     
  2. Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa