Mtunzi: Simon H. Mapua
> Mfahamu Zaidi Simon H. Mapua
> Tazama Nyimbo nyingine za Simon H. Mapua
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,181 | Umetazamwa mara 4,646
Download Nota Download MidiFadhili za Bwana nitaziimba milele, Fadhili za Bwana nitaziimba milele x 2.
Mashairi:
1. Ee Yerusalemu umsifu Bwana msifu Mungu wako Ee Sayuni.
2. Maana ameyakaza mapigo ya malango yako amewabariki wanao ndani yako.