Ingia / Jisajili

BWANA ATUBALIKI

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 186 | Umetazamwa mara 752

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana atubaliki siku zote atubaliki siku zote zamaosha yetu.x2.(1).Heri Kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia yake taabu yamikono taabu ya mikono yako hakika hutaila utakuwa mwenye heri na baraka tele.(2)Mke atakuwa Kama mzabibu uzaao nyu Mbani mean nyuma yako.wanao Kama Miche ya mizeituni wakizunguka meza yako.(3).Hakika atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana .Bwana akubariki toka sayuni.(4).Uone uheri yayerusalemu siku zote zamaosha yako nam ukawaone wanao wanao amani ikae na israeri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa