Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 79 | Umetazamwa mara 123

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE ,HAKI NA HUKUMU ZAKE NI ZA ADILI X 2 KAMA ZILIVYO REHEMA UMTENDEE MTUMISHI WAKO X2:Fine (1).Heri walio kamili njia zao waendao katika sheria ya Bwana.(2).Kando ya mito ya babeli ndiko tulipo be keti.Tukalia tulipo ikumhuka sayuni.(3).Kama si Bwana aliyevkuwa pamoja nasi.wanadamu walipo tushambulia (4).Wamtumainio Bwana nikama mlima wasayuni ambao hautatikisika wakaa milele. (5).Bwana alipo warejeza mateka was sayuni tulikuwa tulikuwa Kama waotao ndoto

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa