Ingia / Jisajili

BWANA ATUBARIKI

Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 250 | Umetazamwa mara 1,067

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana atubariki tubarikix2 siku zote za maisha yetu.

1. Heri kila mtu achaye Bwana, aendaye katika njia zake, taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa mwenye heri na baraka tele.

2. Mke atakuwa kama mzabibu, vyumbani vyumbani mwa nyumba yake, Wanao kama miche miche ya mizeituni, wakiizunguka zunguka meza yako.

3. Hakika hakika atabarikiwa, hivyo mtu yule amchaye Bwana, Bwana akubariki toka Sayuni, uone uheri wa Yerusalemu.

4. Siku zote za maisha maisha yako, naam ukawaone wana wa wanao,amani ikae na Israel, amani ikae na Israel.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa