Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 370 | Umetazamwa mara 1,445
Download NotaMoyo wangu, umekuambia bwana, uso wako nitautafuta x2
1. Usinifiche, uso wako bwana, maana nitazikumbuka rehema zako.
2. Adui zangu, wasifurahie,naam wasifurahie kwa kunishinda