Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,071 | Umetazamwa mara 3,364
Download Nota Download MidiBWANA ATUBARIKI SIKU ZOTE,
BWANA ATUBARIKI SIKU ZOTE X2
BWANA ATUBARIKI SIKU ZOTE, BWANA ATUBARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU, ATUBARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU.
1. (A)HERI KILA MTU, AMCHAYE BWANA,
AENDAYE KATIKA NJIA YAKE,
(B)TA’BU YA MIKONO YAKO, HAKIKA UTAILA,
UTAKUWA HERI NA KWAKO KWEMA.
2. (A)MKEO ATAKUWA, KAMA MZABIBU,
UZAAO VYUMBANI MWA NYUMA YAKO,
(B)WANAO KAMA MICHE, YA MIZEITUNI,
WAKIIZUNGUKA MEZA YAKO.
3. (A)TA-ZAMA ATABARIKIWA HIVYO,
YULE AMCHAYE AMCHAYE BWANA,
(B)BWANA AKUBARIKI, TOKA SAYUNI,
UONEUHERI WA YERUSALEMU.
4. (A)SIKU ZOTE, SIKU ZOTE,
ZA MAISHA YAKO ZA MAISHA YAKO,
(B)NAAM UKAWAONE, WANA WA WANAO,
AMANI IKAE NA ISRAELI.