Mtunzi: Ibrahim Joseph
> Tazama Nyimbo nyingine za Ibrahim Joseph
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: HERMAN GERVAS
Umepakuliwa mara 453 | Umetazamwa mara 1,918
Download Nota Download MidiBwana kama wewe ungehesabu maovu nani angesimama mbele yako x2
1.Ee Bwana toka vilindini nalikuliliawewe, usikie sauti yangu
2.Kwako kunamsamaha wa kweli siku zote ili wewe uogopwe na wote