Mtunzi: Ibrahim Joseph
> Tazama Nyimbo nyingine za Ibrahim Joseph
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: HERMAN GERVAS
Umepakuliwa mara 281 | Umetazamwa mara 1,431
Download Nota Download MidiNeema ya Karamu ikae nanyi katika maisha yenu x2
1.Tunzeni sana neema mliyojaliwa leo nayo iwaongoze katika shida zenu.
2. Iwafariji wakati wa taabu zote,iwaletee amani na upendo hapa duniani.