Ingia / Jisajili

Bwana kama wewe ungehesabu maovu

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi | Kwaresma

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 687 | Umetazamwa mara 1,603

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus: Bwana kama wewe ungehesabu maovu nani angesimama. Mashairi: 1.Lakini kwako kuna msamaha Ee Mungu wa Israel 2.Nimemngoja Bwana roho yangu imengoja, na neno lake nimelitumainia. 3.Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi waingojeao asubuhi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa