Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 726 | Umetazamwa mara 2,726
Download NotaKiitikio
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu , Sitapungukiwa na kitu, Sitapungukiwa na kitu
Mashairi
1. Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza
2. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia ya haki kwa ajili ya jina lake, nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogop mabaya