Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: Vedasto A.J. Rusohoka
> Mfahamu Zaidi Vedasto A.J. Rusohoka
> Tazama Nyimbo nyingine za Vedasto A.J. Rusohoka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Vedasto Adriano

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 1

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ndiye mchungaji wangu mimi sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa