Ingia / Jisajili

Waamini Wote

Mtunzi: Vedasto A.J. Rusohoka
> Mfahamu Zaidi Vedasto A.J. Rusohoka
> Tazama Nyimbo nyingine za Vedasto A.J. Rusohoka

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vedasto Adriano

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 21

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waamini wote, simameni twende tukatoe sadaka zetu, mali tulizo nazo zote ni mali yake mifugo namashamba vyote ni mali yake hivyo amkeni twende tukatoe sadaka zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa