Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mfalme Amejivika Taji

Mtunzi: Erius Mugishagwe Emery
> Mfahamu Zaidi Erius Mugishagwe Emery
> Tazama Nyimbo nyingine za Erius Mugishagwe Emery

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Erius Mugishagwe Emery

Umepakuliwa mara 362 | Umetazamwa mara 702

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni mfalme, amejivika taji. 1. Bwana ametamalaki, amajivika adama, Bwana amejivika, na kujikaza nguvu. 2. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani, Wewe ndiye uliye tangu milele. 3. Shuhuda zako ni amini sana, utakatifu wako ndio uifaao nyumba yako, ee Bwana, milele na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa